Ni habari zinazotoka Dodoma asubuhi hii ya November 11 2016 zikihusu
kifo cha Mbunge Hafidh Ali Tahir wa Jimbo la Dimani ‘CCM’ Zanzibar, ni
kifo kilichotokea alfajiri ya leo katika Hospitali ya mkoa wa Dodoma.
Copyright © JARIDALETU BLOG | Powered by Blogger
0 comments:
Post a Comment