Msanii wa kitambo wa bongo flava, Hakeem5 akiulizwa kuhusu ushauri
aliopewa na Abby Skills kuhusu kumuomba msamaha Ali kiba amedai katu
hawezi kufanya jambo hilo
Amesema yeye aliongea ukweli kuhusu Ali Kiba na ukweli sio lazima umfurahishe kila mtu.
Pia ameongezea Ali Kiba ana roho mbaya na hata kolabo alilofanya na Abby Skills ilitokea tu baada ya yeye Hakeem5 kuongea
0 comments:
Post a Comment