Pete
Souza ni mpiga picha rasmi wa Obama ambaye imeelezwa kuwa amepiga picha
za Barack Obama takribani milioni mbili. Mpiga picha huyo ameachia
picha 55 ambazo alimpiga Rais wa Marekani, Barack Obama kwenye matukio
tofautitofauti ambazo yeye amezipenda zaidi na anazikubali sana.
Kati
ya hizo 55 ambazo mpiga picha huyo wa Ikulu ya White house ameweka wazi
kwamba anazikubali 55, nimekuwekea hapa 25 unaweza kuzipita hapa pia
usiache kuniandikia comment yako ukiniambia ipi umeikubali zaidi…
0 comments:
Post a Comment