Marapa 6 wa Kike Bongo Wameamua kuungana na kutoa wimbo mmoja kwapamoja, Marapa hao ni Stosh, Cindy Rulz, Rosa Ree, Chemical, Pink na Tammy wataonyeshana nani zaidi ya mwenzake kwenye ngoma ya pamoja iitwayo ‘Hola Hola’ iliyotayarishwa na Nahreel
Wimbo huo uliopo kwenye mradi uliopewa jina Dada Hood utatoka Jumatano hii. Mtangazaji wa Clouds FM, Mamy Baby anahusika kusimamia Mradi Huo
Wimbo huo uliopo kwenye mradi uliopewa jina Dada Hood utatoka Jumatano hii. Mtangazaji wa Clouds FM, Mamy Baby anahusika kusimamia Mradi Huo
0 comments:
Post a Comment