Baada ya Donald Trump kutangazwa kuwa mshindi katika kura za Uraisi
nchini Marekani, hebu pata nafasi ya kutazama mjengo ambao atakwenda
kuishi Barack Obama akishatoka White House.
Mjengo huo ambao atakwenda kuishi Barack Obama pamoja na familia
yake, unatajwa kuwa maili mbili kutoka na Ikulu ya Marekani “White
House” huko washington DC.
Nyumba hiyo imetajwa bei yake kuwa ni £4million na ilikuwa ikimilikiwa na Joe Lockhart mfanyakazi wa White House.
0 comments:
Post a Comment