Wiki chache zilizopita Model maarufu Tanzania #Calisah alifanya
mahojiano na #Sammisago kwenye #FridayNiteLive na kuthibitisha kuwa hana
mahusiano ya kimapenzi na Wema Sepetu.
Kupitia mtandao wa instagram November 13 2016 wawili hawa wameonyesha mapenzi yao kwa video ya mabusu na mahaba inayosamba online Tanzania.
Kupitia mtandao wa instagram November 13 2016 wawili hawa wameonyesha mapenzi yao kwa video ya mabusu na mahaba inayosamba online Tanzania.
0 comments:
Post a Comment