Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda November 28 2016 alimaliza ziara ya Dar Mpya ambayo alizunguka maeneo tofauti ya jiji la Dar es salaam kwa siku 10 kusikiliza na kutoa majibu ya kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.
Akiwa kwenye mkutano wa mwisho Mwabepande suala kubwa lililojitokeza ni kuhusu utapeli wa viwanja, wananchi walilalamikia kutapeliwa viwanja wakati walivyouziwa kulikuwa na baraka zote kutoka kwa wenyeviti wa mtaa. Baada ya tuhuma hizo kutolewa wananchi waliwataja wenyeviti walioshiriki kuuza viwanja kitapeli na RC Makonda akaamuru wachukuliwe na polisi kwa hatua zaidi. Unaweza kuangalia video hii hapa chini.

0 comments:
Post a Comment