Ismail Khalfan mchezaji wa Mbao FC chini ya umri wa miaka 20, amepoteza maisha katika michuano ya timu za vijana wa umri chini ya 20 katika mchezo wa mwisho wa round ya 7 Kundi A kituo cha Kaitaba Bukoba, Ismail Khalfan alikuwa anavaa jezi namba 4 katika mashindano hayo lakini ndio aliyefunga goli la la kwanza kwa Mbao FC dhidi ya Mwadui FC katika ushindi wa goli 2-0.
VIDEO:
VIDEO:
0 comments:
Post a Comment