Baba mzazi wa mwigizaji mkubwa duniani Will Smith bwana Willard
Carroll Smith Sr. amefariki dunia. Taarifa hizi zimetolewa na aliyekuwa
mke wake Sheree Fletcher, kupitia Instagra November 7.
Fletcher, 48, aliweka picha instagram ya Will Smith na Baba Yake
mzazi. Baba yake Will Smith alikuwa akiishi mjini Philadelphia na
alikuwa fundi maarufu wa majokofu.
0 comments:
Post a Comment