CEO wa WCB, Diamond Platnumz ambaye pia ni miongoni mwa wanamuziki wa Bongo fleva
Diamond amethibitisha ujio mkubwa wa kazi ya msanii wa WCB, Raymond Rayvanny na Msanii mkubwa kutoka Afrika.
Post ya Raymond ambayo imeambatana na comment ya Diamond Platnumz.
Kwenye post aliyoitupia Raymond usiku wa
kuamkia leo baada ya kufanya show Fiesta
viwanja vya Leders Jijini Dar es Salaam ambapo Rayvanny aliweka picha akiwa jukwaani nakuandika…
“Nimekuwakilisha daddy @diamondplatnumz” kwa kumtag Diamond Platnumz.
Ndipo CEO wa WCB, Diamond Platnumz alipotupia comment inayo
thibitisha kuwa Rayvanny amefanya kazi na mwanamuziki Patoranking wa
Nigeria.
Patoranking
Diamond Platnumz aliweka comment inayosema.. “Always Making us
Proud Vanny Bway!!!…. i can’t wait for the world to hear your New Hit
with Patoranking
0 comments:
Post a Comment