Super business woman, Jokate Mwegelo amemuandikia AliKiba ujumbe mzuri ambao amedai umetoka kwenye sakafu ya moyo wake.
Mwanamitindo huyo ambaye yupo karibu zaidi na mkali huyo wa wimbo
‘Aje’ amemsifia msanii huyo huku akiichambua show yake aliyoifanya usiku
wa kuamkia Jumapili katika tamasha la Fiesta Dar es salaam.
Kupitia Instagram, Jokate ameandika:
Komando Kipensi @officialalikiba kwanza thank you for trusting me
and @noelgiotz to style you for Fiesta- tulielewa how important this day
is to you and I’m glad we made it . It was fun creating this iconic
look, you made it easy though I mean your body is just perfect and the
way you carry yourself with so much class and honor you just gave this
outfit the life and sophistication it needed. Style yako ya mavazi ni ya
kipekee, hugezi mtu unatengeneza yako kama unavyofanya na mziki wako,
ni halisi. Sasa mimi napenda kuongea nikiguswa, sio kama AK ila baada ya
kuona ulichofanya jana kwenye stage ya fiesta ( umeimba live na band
kwenye umati mkubwa vile kwa ustadi mkubwa kabisa mpaka watu wakashtuka
maana you were simply perfect ) naomba kusema tu wewe hushindani na
yoyote hapa Tanzania, kuanzia ladha yako ya mziki unaotengeneza mpaka
sauti yako – tena huko kwenye sauti naomba nisiongee maana sitaki
upasuke bichwa lako lol ila kuna kitu cha kipekee kwenye sauti yako, you
are “The Voice”. Kila siku unakuwa bora zaidi yaani labda nikufananishe
na Beyonce kimziki- usiniue lakini . Ukitaka you can dance, you can
sing tena live sauti cleeeear haina mikwaruzo, you can rap, unaeeza
igiza uchizi yaani you are just perfect kama mwanamuziki. Kama hujui leo
ujue. Nakuombea siku mmoja dunia nzima iweze kufurahia hiki kipaji
adhimu kutoka kwako. Unajua kuna tofauti ya kuimba wimbo au kusikiliza
wimbo tu kama burudani na kusikiliza kitu kinachokuinua spiritually.
Kitu kinagusa roho yako. Nikisikia Aje, Mwana, My Everything, Mali yangu
hata kama nina mood mbaya vipi my soul becomes happy yaani naturally.
You are a gem na utafika tu. Huu mwendo wako huu huu ndio poa.
Wasikuchanganye. Nikiangalia mfano wa Wizkid yeye anafanya mziki wake,
focus yake niyeye na fans wake na ndio maana yuko alipo licha ya
kushindanishwa na watu kutwa nzima. Blood fans wa AK najua mko nae
tumlazimishe huyu kijana afanye tour nchi nzima pekee yake labda . Haya
mambo ni makubwa wallahy. All in all I’m very proud of you na your
journey of growth and WTH man start giving me credit on the lyrics I
help you with . Hongera @cloudsfmtz kwa show nzuri na kwa wasanii wote #Kajiandae #KingKiba #Kidoti
0 comments:
Post a Comment