Tovuti ya TMZ imeripoti kuwa IRS inamdai bosi huyo wa MMG karibu dola milioni 5.7 za kuanzia mwaka 2012 hadi 2014.
Kama asipolipa fedha hizo, IRS inaweza kushikilia mali zake na kuziuza.
Ross, si rapper pekee mwenye madeni na IRS. Iggy Azalea anadaiwa $391,000 huku Nelly akiwa na deni la dola milioni 2
0 comments:
Post a Comment