KISUTU, DAR: Mahakama imeahirisha kesi mbili zinazomkabili Mkurugenzi wa Jamii Media, Maxence Melo hadi Januari 26, 2017.
Upande wa Jamhuri ulidai kuwa bado unaendelea na upelelezi wa kesi hizo ambapo Hakimu, Simba ameutaka upande wa Jamhuri kuharakisha upelelezi wa kesi ya kuendesha tovuti isiyosajiliwa kwa kikoi cha .co.tz
0 comments:
Post a Comment