Watu 17 wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha lori la mizigo
aina ya Scania lenye namba za usajili T198CBQ na Noah ya abiria yenye
namba za usajili T232BQR iliyotokea jana usiku katika kijiji cha Nsalala
mkoani Shinyanga.
Copyright © JARIDALETU BLOG | Powered by Blogger
0 comments:
Post a Comment