The blog is about hard news



Monday, November 7, 2016

Samuel Sitta amefariki Dunia

sitta
Spika Mstaafu wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo ambapo taarifa za awali zinasema amefariki akiwa Ujerumani kwenye matibabu.
R.I.P Mzee Sitta.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Copyright © JARIDALETU BLOG | Powered by Blogger